Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: MADAWATI BADO YAENDELEA KUTESA WATENDAJI WAHAHA KUTIMIZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Wananchi wa   kijiji cha   Katwe Kata ya Kituntu Wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera wametakiwa kuchangia michango ya madawati haraka iwezek...

Wananchi wa  kijiji cha  Katwe Kata ya Kituntu Wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera wametakiwa kuchangia michango ya madawati haraka iwezekananvyo kuanzi  kesho juni15 mwaka huu waatakaokuwa hawajachangia mchango huo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Wito huo umetolewa leo na Afisa mtendaji wa Kijiji cha Katwe Revitas Chuma  wakati akiongea na KARAGWE FORUM kuhusu wananchi katika kijiji hcho kuchangia michango wa madawati.

Chuma amesema uchangiaji wa madawati ni jukumu la kila mwananchi ili kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na madawati ya kutosha na kusema kuwa atakayekiuka agizo hilo sheria dhidi yake zitachukuliwa.

Amesema muda uliotolewa kwa wananchi hao kuchangia kwa hiari umetosha hivyo watakaoshindwa kutimiza wajibu wao watawajibishwa ili kuhakikisha nao wanashiriki zoezi hili.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top