Unknown Unknown Author
Title: TANGAZO LA ELIMU KWA WAHITIMU WA DARASA LA SABA 2017
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
  TANGAZO LA ELIMU KWA WAHITIMU WA DARASA LA SABA 2017   01. Uongozi wa shule ya sekondari Mukombozi iliyopo Bukoba- Kagera unawatan...

 

TANGAZO LA ELIMU KWA WAHITIMU WA DARASA LA SABA 2017

 


01. Uongozi wa shule ya sekondari Mukombozi iliyopo Bukoba- Kagera unawatangazia kozi ya PRE- FORM ONE wazazi wote wa wanafunzi wanao hitimu darasa la saba 2017.Kozi hii itaanza tarehe 11/9/2017 hadi 11/12/2017

02. Mukombozi sekondari (shule binafsi) iliyosajiriwa na wizara ya Elimu kwa Na. S.4961 imedhamilia kutoa Elimu bora kwa masomo ya sayansi . kozi ya PRE FORM ONE inatolewa bila malipo (ADA)lengo likuwa ni kukusanya wanafunzi ili kubaini wenye uwezo wa kusoma sayansi.

NB. Msaada huu wa kusoma bila malipo (ADA) ni kwa wanafunzi wa kutwa tu. Kwa wanafunzi watakao kaa shuleni (BWENI) watachangia chakula tu. Kwa maelekezo zaidi tupigie

-Nafasi za PRE FORM ONE ni chache kwa wavulana tu. Ukitaka kufanya booking (kushika nafasi ) lipa shilingi elfu ishilini(20,000/=) kwenye akaunti ya shule 0152235258800 CRDB. 

Fedha hii ni kwa ajili ya kujisajili. Jina la Akaunti ni MUKOMBOZI SECONDARY. Tafadhali usilipe fedha benki kabla ya kupiga simu shuleni ili kujua kama nafasi bado zipo. usilipe fedha yoyote kwa mtu tofauti na akaunti iliyo tolewa
03. kwa watakao bahatika kupata nafasi ya kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2018, shule yetu ni nzuri kwa yafuatayo

A. Karo: milioni moja tu na hakuna michango

B. Mwanafunzi akishindwa mtihani wa taifa kidato cha Nne au cha sita, shule inawajibika kumrudisha shuleni asome mwaka mmoja na kurudia mtihani wa taifa

C. Ni shule ya sayansi .
“ Njooni nanyi mtakuwa mashahidi juu ya uwezo wetu kutoa Elimu bora’’
Kwa mawasiliano zaidi piga simu
Mkuu wa shule: 0757-976271 & 0683-299813
Mkurugenzi wa shule: 0754-633355

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top