BREAKINGNEWS RAIS JOHN POMBE MAGUFULI AVAA KOMBATI YA JESHI AKIWAHUTUBIA WANANCHI ARUSHA.
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli yuko mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku tatu leo akiwa Monduli amewasalimia wananchi akiwa amevalia sare za jeshi maarufu kama kombati.
Post a Comment