LEO NINA UJUMBE MFUPI KWA AJILI YAKO.
Usikatishwe tamaa na changamoto zinazokukabili katika utafutaji wako bali hizo changamoto zitumie kama fursa ya kusonga mbele daima simamia maisha yako na njia zako unazoziamini ambazo ni halali kwa jamii.
kuweni na jumapili njema
Post a Comment