Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: BREAKING NEWS: TANZANIA YAPATA FURSA HII KUTOKA UGANDA
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
  Leo Tarehe 23 Aprili, 2016 Tanzania yafanikiwa kupata Bomba la mafuta ghafi baada ya Mhe.  Museveni Rais wa Jamhuri ya Uganda ...
 
Leo Tarehe 23 Aprili, 2016 Tanzania yafanikiwa kupata Bomba la mafuta ghafi baada ya Mhe. 


Museveni Rais wa Jamhuri ya Uganda kutoa kauli ya mwisho Kuwa Mradi Bomba la Mafuta ghafi utapita Njia Kaskazini mwa Tanzania hadi Bandari ya Tanga. Kauli hiyo imetolewa Leo Saa 7 mchana katika mkutano wa 13 wa Northern Corirodor uliofanyika Munyonyo Nje Kidogo ya Jiji la Kampala. Kauli hiyo ilitolewa mbele ya marais wa Kenya, Rwanda, na Wawakilishi wa South Sudan, Ethiopia, Tanzania, DRC na Burundi.





About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top