Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: KUTOKA DODOMA BUNGENI SABABU TATU ZA UPINZANI HIZI HAPA. CLIK TO READ MORE
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Wabunge wote upinzani wametoka nje ya ukumbi wa Bunge kususia kujadili budget ya Waziri mkuu kwa sababu 3; #Mosi; Hakuna mpan...




Wabunge wote upinzani wametoka nje ya ukumbi wa Bunge kususia kujadili budget ya Waziri mkuu kwa sababu 3;

#Mosi; Hakuna mpango wa maendeleo wa serikali hadi sasa. Yani serikali inaendeshwa kwa matukio. Hakuna mpango mkakati unaotumika kuoongoza masuala mbalimbali ya serikali. Yani Rais Magufuli anataka Tanzania ifike mahali ambapo hata yeye hajui ni wapi. Washauri wake wameshindwa kumpa "Focus"

#pil;i Waandishi wa habari kuzuiwa kuingia Bungeni ni ukiukwaji wa haki za msingi za kikatiba. Kwa mijubu wa Katiba ya nchi ibara ya 18 na 19 haki ya mtu kupata habari.

#Tatu; Kupinga maamuzi ya Ofisi ya Spika kupunguza matumizi ya bajeti ya Bunge na kurudisha fedha serikalini bila kushirikisha bunge. Hata kama Spika alitaka kupunguza bajeti ya Bunge alipaswa kushirikisha bunge kwanza ili wajadili na kufikia makubaliano, sio kujiamulia kibabe.!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top