Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Nigeria na klabu kadhaa za barani Ulaya Nankwo Kanu ametembelea taasisi ya JAKAYA KIKWETE CENTRE ambayo inahudumia watu wenye matatizo ya moyo na kuhaidi kusaidia watoto hao kwa kutoa pesa.
Mchezaji huyo katika kipindi chake cha kusakata kabumbumbu alikuwa akisumbuliwa na moyo hivyo amesema anatambua vema tatizo hilo na ndiyo maana amehaidi kuwasaidia.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post a Comment