Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: TANZIA :BABA ASKOFU MSAAFU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA MHASHAM ASKOFU MATHIAS JOSEPH ISSUJA AMEFARIKI
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
AMEFARIKI  AKIWA  KATIKA HOSPITAL YA MT. GASPAR ITIGI. Matthias Joseph Isuja (amezaliwa 14 Agosti 1929 ) (Amefariki 13 A...






AMEFARIKI  AKIWA  KATIKA HOSPITAL YA MT. GASPAR ITIGI.

Matthias Joseph Isuja (amezaliwa 14 Agosti
1929 )
(Amefariki 13 April 2016 Aliwekwa wakfu na
Kardinali Laurean Rugambwa mwaka 1972 .
Tangu mwaka huo hadi 2005 , alipostaafu, alikuwa askofu wa Jimbo la Dodoma .

TUNAMUOMBA MUNGU AKUPE MAHALI PA RAHA MWANGA NA AMANI BABA.
REST IN PEACE!

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top