KIZAA ZAA
MECHI
Unaweza kutumia
maneno yoyote yale
kuwasilisha hisia na
burudani itakayokuwepo Mei
19 mwezi huu
yaani Kesho kwa
wapenzi wa mpira
wa miguu wilaya
ya Karagwe pale
Mkuu wa wilaya
ya Karagwe na
viongozi wengine waandamizi
wa serikali na
vyama vya siasa
watakapochuana na watumishi
wa halmashauri ya
wilaya ya Karagwe
wakiongozwa na Mkurugenzi
mtendaji wa halmashauri
kwenye uwanja wa
changarawe mjini Kayanga
kutandaza soka ikiwa
ni sehemu ya
wiki ya utamaduni
Karagwe ambapo kilele
chake ni Mei 21.05.2016.
Hapa ni
Line up au
kikosi cha maangamizi
cha timu ya
viongozi kitakachovaana na
timu ya Watumishi.
1.Deodatusi Lucas Kinawiro-Mkuu
wa wilaya ya
Karagwe
2.DSO-Afisa usalama
wa Taifa wilaya
ya Karagwe
3.OCD-Mika Makanja
- Mkuu wa polisi
Karagwe
4.DPO-KARAGWE
5.Mshauri wa
Kijeshi Karagwe
6.Mkuu wa
Zimamoto Karagwe
7.Wallace Mashanda
mwenyekiti wa halmashauri
Karagwe
8.Charles Bechumila-Diwani Kata
Nyakahanga
9.Alistides Muliro-Diwani
Bugene
10 Kamugisha Cheusi
Diwani Kibondo
11.Bennett Ruhinda
Katibu UDP Karagwe
12.Peterson Mushenyera
Kamishina wa NCCR
MAGEUZI Kagera
13.Evalista-
14.Robson Mtafungwa
-Mwenyekiti wa CCM Karagwe
15.Josephat Kinyina
-Diwani wa Nyabiyonza
16. Dr
Andrew Cesar - Mganga
mkuu hospitali ya
Nyakahanga.
17.Meneja CRDB
-Karagwe
18.Meneja NMB-Karagwe
19.Edward Mpaka
-Diwani Kata ya
Ndama
20.Padre Novatus
Rutahiwa-Paroko msaidizi parokia
ya Kimiza
21.Karimu Amri
-MNEC Karagwe
22.Meneja NSSF-Karagwe
23.Felix Mkuchu –Diwani Ihembe
24.Valence Kasumuni-Diwani Nyakasimbi
25.Leonard-Ruhuna -Diwani
Chanika
26.Denis Mwita-Katibu
Msaidizi CCM wilaya ya
Karagwe
27. Idd
Mbano- Katibu wa Wazazi
CCM- Karagwe
28.Yahya Salum Kateme-Mwenyekiti UVCCM KAGERA.
Kamati ya
ufundi na fitina
za soka ya
timu ya viongozi
inaundwa na hawa
hapa.
1.Mustaafa Said
-Katibu Tawala Karagwe
2.Mkuu wa
Takukuru- Karagwe
3.Afisa uhamiaji
Karagwe
4.Dawson Byamarwohi makamu
mwenyekiti wilaya ya
Karagwe.
WAAMUZI WA
MTANANGE HUO ULIOPEWA
JINA Kizaa zaa
Hakimu mfawidhi
wa mahakama ya
wilaya ya Karagwe
huku akisaidiwa na
line one na
line two ambao
ni mahakimu wa
mahakama za mwanzo
hapa Karagwe yaani
Mtoto kutumwa dukani
Kesho hapa Karagwe
harudi au change
atasahau.
TIMU YA
WATUMISHI INAENDELEA KUSUKWA
CHINI YA MHANDISI
RICHARD RUYANGO MKURUGENZI
MTENDAJI WA WILAYA
YA KARAGWE.
LINE UP
YAO IKIWA TAYARI
ITKUJIA KUPITIA HAPA
ENDELEA KUFUATILIA MATUKIO
NA VIONJO VYA
WIKI YA UTAMADUNI.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Related Posts
- KAGERA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYAFANYA MAZOEZI YA PAMOJA KUENDELEA KUJIIMARISHA KUWALINDA RAIA NA MALI ZAO25 Apr 20180
Na: Sylvester Raphael Vyombo ya Ulinzi na Usalama Mkoani Kagera vyafanya mazoezi ya ...Read more »
- MBIO ZA MWENGE WA UHURU KATIKA WILAYA ZA KARAGWE NA NGARA PIA HITIMISHO WILAYANI BIHARAMULO MKOANI KAGERA16 Apr 20180
Na: Sylvester Raphael Mwenge wa Uhuru waendelea kuchanja mbuga Mkoani Kagera kwa ku...Read more »
- MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI KAGERA NA KUANZA UZINDUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA ZAIDI YABILIONI 1216 Apr 20180
Na: Sylvester Rapahel Mwenge wa Uhuru umepokelewa leo April 8, 2018 Mkoani Kagera na...Read more »
- TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA16 Apr 20180
Na: Sylvester Raphael Serikali ya Watu wa China yatuma timu ya Wataalam wa Usanif...Read more »
- MKOA WA KAGERA WAVUKA LENGO KATIKA UNDIKISHAJI WA WANAFUNZI AWALI NA DARASA LA KWANZA MWAKA 201816 Apr 20180
Na: Sylvester Raphael Mkoa wa Kagera wavuka lengo la uandikishaji wa Wananfunzi katika madarasa...Read more »
- MKUU WA MKOA KAGERA AAGIZA MKANDARASI KUKAMATWA NA KUFIKISHWA OFISINI KWAKE AKIWA NA PINGU MIKONONI BAADA YA KUITIA SERIKALI HASARA08 Mar 20180
Na Sylvester Raphael Mkuu wa Mkoa wa Kagera aagiza Mkandarasi wa Kampun...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.