Vijana wametakiwa
kujishughulisha na kilimo
kuwa kinalipa zaidi
kuliko kukimbilia kazi
zenye starehe kitu ambacho kinachangia
kuwaingiza vitendo viovu
na kujikuta kwenye
wakati mgumu.
Hii ni
Kauli ya kijana
mmoja wilayani Bukombe
ambaye anajishughulisha na
kilimo cha matikiti maji
wakati akiongea na
mwanadishi wa mtandao
akiwa ni mmoja
wa wateja wa
matunda hayo.
“Ni
kwambie kijana awe
mvumilivu haya matikiti
maji unavumilia siku
65 tu na
hapo unaanza kuvuna
na kujipatia kipato
unaona haya yote
nilivuna matikiti maji
1800 moja naliuza
kuanzia sh 2000 hadi 5000
kulingana na ukubwa.
Tatizo la
vijana wenzangu ni
kupenda mafanikio ya
siku mbili wavumilie
watapata mafanikio”Alisema kijana
huyo
Post a Comment