Kikao
cha Kamati Kuu (CHADEMA) Kinachofanyika Dar es salaam kimevamiwa na polisi na
viongozi walioko meza kuu wa natakiwa kwenda polisi.
Kikao
hicho kilikuwa kinafanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi Jijini Dar.
=>
Muda mfupi uliopita Mwenyekiti wa Chama Freeman Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Bara
John Mnyika, Katibu Mkuu Vincent Mashinji na Mjumbe wa Kamati Kuu Edward
Lowassa watakiwa polisi.
Msafara
huo uko Njiani unaelekea Polisi kituo Kati baada kutaka kikao cha kamati
kuahirishwa kwamba vikao na mikutano vimezuiliwa.
Post a Comment