Wanahabari watanzania wakipata maelezo kutoka
kwa Allan Yohana mtembeza watalii(kulia)
-Mapango ya Amboni Tanga.
Asilimia 98 ya
watalii wa ndani na asilimia 2 kutoka
nje wanaotembelea Mapango ya Amboni yaliyopo Mkoani Tanga kaskazini mwa
Tanzania ni kiashiria kuwa uelewa wa watanzania juu ya umuhimu na faida za
utalii.
Video ya
Muhifadhi wa mapango hayo Jumanne Gekora
Wanzafunzi ni
Miongoni mwa watu 50 ambao hutembelea
mapango ya Amboni kwa siku, ikiwa ni ziara zao za mafunzo.
Wanafunzi wa shule
ya Sekondary Old Tanga
Eneo la pango
linalotumiwa kwa ajili ya matambiko.
Ingawa Wenyeji waishio katika eneo la
mapango ya Amboni huyatumia zaidi kama
sehemu ya matambiko lakini yapo mambo mbengi ya kujifuza.
Sauti ya Allan
Yohana muongoza watalii akifafanua
Huu umekuwa utamaduni
wa watanzania wanaoishi karibu na vivutio vya utalii kama mapango, Chemichemi
za maji moto, Makumbusho na Misitu kuvitumia kwa ajili
ya matambiko.
Maneno Muhimu: Utalii Tanga, Elimu ya Utalii, Mapango
Amboni, Matambiko, Imani za Asili, Sayansi na teknolojia, Mizimu, maajabu ya
mapango, Utalii Tanzania, Historia ya Tanzania, Ziara za mafunzo, Amboni Caves
in Tanga, Miujiza,Utalii wa malikale, Tourism in Tanga,Historia ya mapango
Duniani, Sheria za hifadhi ya mapango, Hifadhi za Taifa, Tanga Tourism, Utalii wa Ndani, Amboni Caves in
Africa, Hertage, Utarii urithi wetu, Amboni Caves in Tanzania, Utalii na
utamaduni.
Post a Comment