Unknown Unknown Author
Title: LIVE UPADATES SAGRADA ESPERANCA MJINI DUNDO, ANGOLA VS YANGA AFRICAN FROM TANZANIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
  YANGA SC inajitupa kwenye Uwanja wa Sagrada Esperanca mjini Dundo, Angola jioni ya leo kumenyana wenyeji, Sagrada Esperanca katika m...
 
YANGA SC inajitupa kwenye Uwanja wa Sagrada Esperanca mjini Dundo, Angola jioni ya leo kumenyana wenyeji, Sagrada Esperanca katika mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Mchezo huo unatarajiwa kuanza Saa 9:00 Alasiri kwa saa za Angola na Saa 11:00 jioni kwa Saa za Tanzania.
 Dakika  ya   82  Yanga  wako  nyumba  kwa  Goli  moja  kwa  bila  huku  Nadri  Haroub Cannavaro,Harouna  Niyonzima,Thabani  Kamusoko  na  Deogratias  Munishi "DIDA"wakiwa  wamepewa  kadi  za  Njano
Deogratias   Munishi  "DIDA"kadaka   penalti  dakika  za  lala  salama  na  Nahodha   Nadri  Haroub CANNAVARO  kapewa  Red  Card  kumetokea fujo  kidogo  mpira  ulikuwa  umebakia  dakika 2 kuisha.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top