Watu wasiofahamika
wamelichoma na kuliteketeza
kwa moto Kanisa
la Romani Katoliki
Kigango cha Nyarwele
Parokia ya Kimiza
jimbo Katoliki la
Kayanga wilayani Karagwe
Mkoa wa Kagera
pamoja na mali
zote zilizokuwemo ndani
yake ambapo thamani
yake haijajulikana mara
moja kwa sasa
wanaendelea na tathimini.
Tukio hilo
limetokea usiku wa
kuamukia jana(Leo) ambapo watu
wasiofahamika walichoma Kanisa
hilo na kuteketeza
mali yote iliyokuwa
ndani ya kanisa
hilo na kusababisha
hasara kubwa kwa
waumini walioachwa bila
kitu huku wakitafakari
watakavyoanza ujenzi wa
Kanisa Jingine.






Post a Comment