Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: BASI LA TAHMEED LATEKETEA KWA MOTO MCHANA LEO
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
BASI LA TAHMEED LATEKETEA KWA MOTO MCHANA LEO Basi la abiria mali ya Kampuni ya Tahmeed, lililokuwa likitokea Jijini Tanga ...

BASI LA TAHMEED LATEKETEA KWA MOTO MCHANA LEO



Basi la abiria mali ya Kampuni ya Tahmeed, lililokuwa likitokea Jijini Tanga kuelekea Jijini Dar es salaam, likiteketea kwa moto mchana huu katika eneo la Komkonga.  Inaelezwa kuwa Ajali hiyo imetokea wakati Basi hilo likiwa limesimama baada ya Abiria mmoja kuomba msaada tutani "WA KENDA KUCHIMBA DAWA" ambapo baadhi ya Abiria wengine nao walishuka na kusikia harufu ya tairi linaloungua. muda mchache tu tairi hilo lilipasuka na moto kuanza kusambaa hadi kwenye tanki la Mafuta.

Hakuna mtu yeyote aliepoteza Maisha kwenye ajali hii na hakuna mali iliyoweza kuokolewa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top