Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: VIONGOZI WA KAMATI KUU WA CHADEMA WAKAMATWA WAKIWA KWENYE KIKAO CHA NDANI
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Kikao cha Kamati Kuu (CHADEMA) Kinachofanyika Dar es salaam kimevamiwa na polisi na viongozi walioko meza kuu wa natakiwa kwenda ...




Kikao cha Kamati Kuu (CHADEMA) Kinachofanyika Dar es salaam kimevamiwa na polisi na viongozi walioko meza kuu wa natakiwa kwenda polisi.


Kikao hicho kilikuwa kinafanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi Jijini Dar.




=> Muda mfupi uliopita Mwenyekiti wa Chama Freeman Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Bara John Mnyika, Katibu Mkuu Vincent Mashinji na Mjumbe wa Kamati Kuu Edward Lowassa watakiwa polisi.




Msafara huo uko Njiani unaelekea Polisi kituo Kati baada kutaka kikao cha kamati kuahirishwa kwamba vikao na mikutano vimezuiliwa.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top