Unknown Unknown Author
Title: WANANCHI WA KIGASHA KATA RUGU WAIOMBA SERIKALI KUWAOKOA KATIKA ELIMU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
 HII NI  SHULE  LAKINI  ISIYO RASMI WANANCHI  WA  KITONGOJI KIGASHA  WALIAMUA  KUJENGA  KIBANDA HIKI NA KUAJILI KIJANA  ALIYEMALIZA KIDATO...
 HII NI  SHULE  LAKINI  ISIYO RASMI WANANCHI  WA  KITONGOJI KIGASHA  WALIAMUA  KUJENGA  KIBANDA HIKI NA KUAJILI KIJANA  ALIYEMALIZA KIDATO CHA NNE  AWASAIDIE  WATOTO  WAO KUJUA KUSOMA  NA  KUANDIKA TANGU UHURU HAKUNA  ALIYEBAHATIKA  KUHITIMU DARASA LA SABA  KWENYE  KITONGOJI  HICHO KUTOKANA NA  MAZINGIRA  YA  ENEO  HILO.

 HUYU  NDIYE MKOMBOZI  WA KITONGOJI  CHA  KIGASHA  KIJIJI RUHITA  KATA  RUGU WILAYA  YA  KARAGWE  MKOANI  KAGERA  AMBACHO  TANGU  UHURU  WA  TANZANIA  HAKUNA  ALIYEWAHI  KUFIKA  DARASA  LA TANO  NA  KUHITIMU  LASABA.About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top