Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: SHIRIKA LA JAMBO BUKOBA LIMEKABIDHI KISIMA CHA MAJI SHULE YA MAGUGE
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
 Shirika  la  Jambo  Bukoba  linalojishughulisha na  michezo kwa  shule  za msingi mkoani Kagera limekabidhi kisima  ...







 Shirika  la  Jambo  Bukoba  linalojishughulisha na  michezo kwa  shule  za msingi mkoani Kagera limekabidhi kisima  cha  maji chenye  thamani  ya  million nne  baada  ya  shule  hiyo  kushinda  katika  bonanza  la  mkoa  wa Kagera.

Mbali  na  kutoa  zawadi  hiyo Jambo  Bukoba  huendesha  michezo  inayohamasisha  ushirikishwaji wa jinsi  zote  yaani  wanawake  na  wavulana.





About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top