Unknown Unknown Author
Title: HATIMAE MKUU WA MKOA KILIMANJARO ASAINI KITABU OFISINI KWAKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
 Bi  Anna  Elisha  Mgwira  akisaini  kitabu  cha  wageni  tayari  kwa  kuanza  kazi  rasmi  kama  mkuu  wa  mkoa  wa  Kilimanjaro  baada  ...
 Bi  Anna  Elisha  Mgwira  akisaini  kitabu  cha  wageni  tayari  kwa  kuanza  kazi  rasmi  kama  mkuu  wa  mkoa  wa  Kilimanjaro  baada  ya  kuteuliwa  na  rais  na  baadae  kura  kiapo .Ikumbukwe  Anna  Mgwira  alikuwa  mwenyekiti  wa  cha  cha  Upinzani  cha  ACT-WAZALENDO  lakini  jana  chama  hicho  kimetangaza  kumvua  wadhifa  huo.

 Aligombea  urais  katika  uchaguzi  mkuu  wa  mwaka 2015   kupitia  ACT  WAZALENDO  na  alikuwa  mwanamke  pekee  kwenye  kinyanganyiro  hicho
About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top