AJALI YA GARI LA BM COACH ENEO LA MIKESE WATU WAWILI WAPOTEZA MAISHA WENGINE 35 WAJERUHIWA.
Basi la BM COACH lililokuwa likitokea DAR ES SALAAM kwenda Mkoan Morogoro limepata ajali eneo la Mikese Morogoro wakati likijaribu kulikwepa lori la mizigo na dereva kushindwa kulimudu na kuligonga tela na kusababisha majeruhi 35 na watu wawili kufariki dunia.
Post a Comment