JAMII mkoani KAGERA imeshauriwa kuwatunza wajawazito
na watoto kuanzia umri sifuri hadi
miaka sita ili kuwajengea ubongo changamfu kuanzia wanapokuwa katika umri
mdogo.
Kauli imetolewa na mkurugenzi wa shirika la (Mapec) la wilayani Missenyi mkoani Kagera Dr GEORGE BUBERWA katika Semina ya makuzi ya mtoto iliyozaminiwa na USAID, Pact Hilton Fonra Foudation .
Dr BUBERWA amesema kuwa ili kuzalisha mtoto atakae kuwa bora kuna kila sababu ya kuwekeza katika ubongo ili kutayarisha kizazi ambacho kitakuwa na maamuzi yaliyo bora na sio ilimradi kizazi.
Amesema kuwa ubongo ni kiungo muhimu sana katika kiungo cha mwanadamu hivyo usipo jengewa mazingira mazuri toka udogoni kuna hatali ya kulikosa Taifa yenye fikra. mpya.
Amebainisha kuwa Kuna vitu muhimu
vyakuzingatia katika makuzi ya mtoto ambayo ni kuzingatia lishe kuanzia kwa
mama anapokuwa amepata ujauzito kuanzia siku ya kwanza anapaswa kutunzwa na
kupendwa ili mtoto atakaezaliwa awe na ubongo unaofanya kazi vizuri.Kauli imetolewa na mkurugenzi wa shirika la (Mapec) la wilayani Missenyi mkoani Kagera Dr GEORGE BUBERWA katika Semina ya makuzi ya mtoto iliyozaminiwa na USAID, Pact Hilton Fonra Foudation .
Dr BUBERWA amesema kuwa ili kuzalisha mtoto atakae kuwa bora kuna kila sababu ya kuwekeza katika ubongo ili kutayarisha kizazi ambacho kitakuwa na maamuzi yaliyo bora na sio ilimradi kizazi.
Amesema kuwa ubongo ni kiungo muhimu sana katika kiungo cha mwanadamu hivyo usipo jengewa mazingira mazuri toka udogoni kuna hatali ya kulikosa Taifa yenye fikra. mpya.
Amefafanua ili kuondoa dhana ya kuzalisha watoto wasio na fikra mpya kuna kila sababu ya wazazi na jamii, Serikali kushiliki katika kuwalea watoto kwa kuwapenda, kucheza nao, pamoja na kuwapatia lishe iliyo bora nasio kuwaterekeza .
Aidha, amesema kuwa Kutokana na utafiti ulifanywa na wanasayansi inaonekana kuwa ubongo wa mtoto unapo tunzwa vizuri kuanzia umri sifuri hadi miaka sita kuna asilimia kubwa ya kupunguza uhalifu nchini, maana mtoto aliepata lishe ya kutosha pamoja na kutunzwa vyema anakuwa naufahamu mkubwa kuanzia anapo kuwa katika shule za awali mpaka anapofikia elimu ya juu.
Kwa upande wake ofisa ustawi wa jamii wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi ANORD NKONGOKI amesema wanaume wamekuwa changamoto kwa akina mama wajawazito pamoja na watoto khali inayopelekea wanaume wengi kutelekeza familia na watoto kushindwa kupata makuzi mazuri.
Kwa mujibu wa ofisa huyo takwimu zinaonyesha kuwa Mpaka sasa kuna kesi 55 zinazotokana na wanaume kuoa wanawake wengi na kushindwa kuwahudumia, akinamama wajawazito kupigwa pasipo huruma,akina mama kutelekezwa na watoto wachanga ambapo amebainisha kuwa swala hilo linafanyiwa kazi na halmashauri hiyo.
Post a Comment