LEO NI KUMBUKUMBU YA WAZIRI MKUU EDWATD MORINGE SOKOINE
Wadau na Watanzania wamesema waziri mkuu Marehemu Edward Moringe Sokoine hajapewa uzito unaostahili kulingana na kazi aliyoifanyia Taifa hili na wakashukuru kwa jitihada za Rais Mstaafu wa Awamu ya NNE DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE kulijengea kaburi la kiongozi huyo mnamo mwaka 2013 na kulazimika kumzika upya usiku kutokana na mila za kabila la wamasai.
Post a Comment