What's New?

1:57 PM ADC Summit 2025!

Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: TAARIFA KUTOKA KOJANI KISIWANI PEMBA NI BALAA TUPU UBAGUZI ITIKADI ZA SIASA
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Taarifa  kutoka Kojani Kisiwani Pemba ni kuwa watawala wamevichukuwa vyombo vya wananchi ambao wanakataa kuwavuusha wana-CCM na sasa ...


Taarifa  kutoka Kojani Kisiwani Pemba ni kuwa watawala wamevichukuwa vyombo vya wananchi ambao wanakataa kuwavuusha wana-CCM na sasa Kojani nzima inatoka kwenda kukomboa vyombo vyao. Tuombe salama na busara itawale. Kojani ni kisiwa kipo kaskazini mwa pemba

01 Jun 2016

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top