Msafara
wa Waziri wa sheria na katiba Harrison Mwakyembe umepata ajali maeneo ya
Bwanga,Chato mkoani Geita ambapo gari ya mwendesha mashtaka nchini Biswalo
Mganga aliacha njia na kupinduka baada ya dereva kuwakwepa watoto waliokuwa
wanavuka barabara Bila tahadhari
Dereva
na Abiria wote akiwemo Mkurugenzi wa makosa ya jinai Biswalo Mganga na msaidizi
wake wametoka salama
Post a Comment