Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: BREAKNGNEWS RAIS MAGUFULI ATOA KAULI NZITO JIONI HII JUU YA MISHAHARA YA WATUMISHI WA UMMA
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Kuna baaadhi ya wafanyakazi nchi hii wanapata mishahara hadi mil. 40 kwa mwezi Hakika   nawaambia mishahara hiyo nitaifuta. Natak...




Kuna baaadhi ya wafanyakazi nchi hii wanapata mishahara hadi mil. 40 kwa mwezi Hakika  nawaambia mishahara hiyo nitaifuta. Nataka mshahara wa juu uwe mil.15, Nitaishusha ili iende kwa hao wadogo wanaoteseka. Kuna watu wanaishi kama malaika nataka niwashushe waishi kama shetani.


Ambaye hawezi aende anakotaka. Mwanafunzi unasoma bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne bure halafu mtihani wa mwisho unapata 0 wewe ni wa kufungwa(JPM-CHATO) Matatizo ndani ya serikali ni mengI tu. Nashindwa hadi nianzie wapi


Kuna mfanyakazi mmoja TRA Dar alikuwa analipwa mishahara 17 kwenye akaunti tofauti huyu  tunampeleka mahakamani.(JPM-CHATO)

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top