Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: MAMIA YA WANANCHI WILAYANI CHATO-GEITA WAJITOKEZA KUMPOKEA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo.

Wakazi kutoka vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoa wa Geita,wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ambaye amewasili leo mjini humo alikozaliwa.Rais Dkt Magufuli amewasili wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu awe Rais.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top