Yanga yafuzu hatua ya robo fainali ya kombe la shirikisho Africa kwa goli 2-1 dhidi ya Wa Angola ambao walionesha kufanya vitimbwi vya hapa na pale na kupelekea kuwepo kwa fujo uwanjani na Nahodha wa Yanga Nadri Haroub CANNAVARO kupewa RED CARD dakika 82 ya mchezo lakini Shujaa wa Mchezo huo ni Mlinda mlango Deogratias Munish DIDA kwa kudaka mkwaju wa penaliti dakika za lala salama.
Yanga imefika hatua hiyo ikiwa ni mara ya pili kwa michuano mikubwa barani Africa mara ya kwanza kufanya hivyo ilikuwa mwaka 1998 na timu nyingine ya Tanzania iliyofanya hivyo ni Simba ambayo iliwavua ubingwa Zamaleck mwaka 2002
Home
»
Sports and Entertainment
» YANGA YASONGA MBELE KWENYE MICHUANO YA SHIRIKISHO BARANI AFRICA CAF
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Related Posts
- ATUKUZWE FC NAYO YAANZA LIGI KWA KIPIGO CHA MBWA MWIZI09 Jan 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- POLISI KARAGWE YAANZA KWA KIPIGO CHA MWAKA,NYAISHOZI YAKUBALI08 Jan 20170
Timu ya Polisi Karagwe imeanza ligi ya Taifa ngazi&n...Read more »
- YANGA YAFANYIWA KITUMBAYA NA AZAM HUKO ZANZIBAR08 Jan 20170
Timu ya Azam fc jana ilifanyia kitu kibaya Y...Read more »
- KAULI WALIZOZIONGEA WATU MASHUHURI TOFAUTI KUHUSU GOAL LA GIROUD :03 Jan 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.