Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: MSAFARA WA WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA HARRISON MWAKYEMBE UMEPATA AJALI MAENEO YA BWANGA,CHATO MKOANI GEITA
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Msafara wa Waziri wa sheria na katiba Harrison Mwakyembe umepata ajali maeneo ya Bwanga,Chato mkoani Geita ambapo gari ya mwend...




Msafara wa Waziri wa sheria na katiba Harrison Mwakyembe umepata ajali maeneo ya Bwanga,Chato mkoani Geita ambapo gari ya mwendesha mashtaka nchini Biswalo Mganga aliacha njia na kupinduka baada ya dereva kuwakwepa watoto waliokuwa wanavuka barabara   Bila tahadhari









Dereva na Abiria wote akiwemo Mkurugenzi wa makosa ya jinai Biswalo Mganga na msaidizi wake wametoka salama





About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top