Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: BREAKING NEWSSS: WAZIRI AUAWA BURUNDI.
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa maji na mazingira ameuwawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo   mjini Bujumbura nchini Burundi . Emmanuel niyon...




Waziri wa maji na mazingira ameuwawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo  mjini Bujumbura nchini Burundi .

Emmanuel niyonkuru ameuwawa kwa kupigwa risasi kwa kutumia bastola wakati akiwa amarejea nyumbani kwake majira ya saa sita za usiku maeneo ya Rohero mjini Bujumbura .

Msemaji wa polisi nchini Burundi Pierre nkurikiye amethibitisha kuuawa kwa waziri huyo ambapo hawajajulikana wahusika ni akina nani.

Amesema uchunguzi umeanza kufanyika ili kumbani mhusika wa mauaji hayo ni nani.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top