Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: KAULI WALIZOZIONGEA WATU MASHUHURI TOFAUTI KUHUSU GOAL LA GIROUD :
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
PELE : goal alilofunga Giroud halitafungwa tena kwenye karne hii.. Labda nikama tu Mungu atanirudisha mimi Pele kwenye umri wa mia...



PELE : goal alilofunga Giroud halitafungwa tena kwenye karne hii.. Labda nikama tu Mungu atanirudisha mimi Pele kwenye umri wa miaka 17..

DIEGO COSTA : Baada ya kulitazama tu lile goal la Giroud.. Nikampigia Eden Hazard simu aje mazoezini.. Alipofika amenipigia krosi mipira elf 2 tena nikiwa bila kipa.. Nasema nikimuogopa Mungu. Nimeshindwa kufanya alichofanya Giroud..

LIONEL MESSI : Watu wanasema mimi ni kiumbe wa sayari nyingine.. Lakini baada ya kulitazama goal la Giroud.. Naanza kuamini, huenda Giroud tunatoka naye sayari moja..

MALKIA ELIZABETH : Kama kesho kusingekuwa na mechi za ligi kuu. Ningeamuru waziri mkuu atangaze iwe siku ya mapumziko.. Ili watu watulie majumbani mwao. Kuangalia marudio ya goal la Giroud..

CHRISTIANO RONALDO :. Kama Giroud angefunga hili goal kabla sijakabidhiwa Ballon dour.. Nisingethubutu kupata ujasiri wakuipokea ile tuzo..

ANTHONY LUSEKELO: Mungu amenijalia upako wa kutenda miujiza tofauti chini ya mbingu .. Lakini sio kama ile aliyoifanya Oliver Giroud.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top