What's New?

1:57 PM ADC Summit 2025!

Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: MTI WAZUA TAHARUKI HUKO GEITA ULIANGUKA MIAKA 6 WASIMAMA TENA
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
 Mti  huo  ambao  upo  njiapanda  ya Mgusu  mkoani Geita  ulidondoka  wenyewe  takribani   miaka sita iliyopita   na  wananchi  wa  eneo  ...
 Mti  huo  ambao  upo  njiapanda  ya Mgusu  mkoani Geita  ulidondoka  wenyewe  takribani   miaka sita iliyopita   na  wananchi  wa  eneo  hilo  walikata  matawi  yake  na  kuchoma  mkaa .Sasa  umeamka  na  kusimama  tena   watu  wamejitokeza  na  kuanza  kukata  mizizi  yake  wakidhani ni  dawa.

09 Jan 2017

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top