Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: WADAU NA WANANCHI WATAKIWA KUCHANGIA MBIO ZA MWENGE
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Wananchi wametakiwa kushiriki katika kutoa michango kwa ajili ya kukamiliza zoezi la upokeaji wa mwenge katika wilaya ya KARAGW...





Wananchi wametakiwa kushiriki katika kutoa michango kwa ajili ya kukamiliza zoezi la upokeaji wa mwenge katika wilaya ya KARAGWE ambao unatarajiwa  kufika mwezi  wa nane  mwaka huu.

Hayo yamebainishwa  katika kikao cha bajeti kilicho fanyika katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya KARAGWE ambapo wajumbe walio hudhulia kikao hicho wameomba wananchi kuhamasiswa na kuhamasika katika zoezi la uchangiaji wa michango.

Pia wajumbe wamesema kuwa Taasisi na wafanya biashara mbalimbali watoe ushirikiano katika uchangiaji wa michango kwa ajili ya kukamilisha shughuli za upokeaji mwenge.


Kwa upande wake mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ambaye ni  katibu Tawala wilaya ya KARAGWE INNOCENT NSENA amewaomba watendaji wa kata na vijiji kuendelea kuihamasisha jamii ili kafanikisha  zoezi hilo.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top