Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: RAIS MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKO MAFUPI WILAYANI CHATO
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli (katikati) pamoja na mdogo wake Asteria wa kwanza (kushoto). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu aliyokuwa akioneshwa na Mama yake mzazi Mama Suzana Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Lubambangwe Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Asteria wa kwanza (kushoto), na Dada yake Monica Joseph wa kwanza (kulia). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Asteria wa kwanza kushoto. Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita. 
PICHA NA IKULU

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top