Home
»
»Unlabelled
» TAARIFA ZA KIFO CHA ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA ZA KANUSHWA KUWA NI UZUSHI TUPU.
Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, jana alizushiwa kuwa amefariki dunia.
Taarifa
hizo zilizozagaa katika mitandao ya kijamii zilieleza kuwa Askofu
Gwajima alifariki dunia katika hospitali ya TMJ, Mikocheni jijini Dar es
Salaam.
Kwa
mujibu wa taarifa hizo zilienea kuanzia ya saa tano asubuhi, zilieleza
kuwa Askofu Gwajima alifariki dunia kwa shinikizo la damu.
Hata hiyo, taarifa hizo zilikanushwa vikali na mwanasheria wake, wakili wa kujitegemea Peter Kibatala.
Kibatala jana alisema taarifa hizo ni za uzushi ambao haelewi chanzo chake.
“Nimesikitishwa
na taarifa hizi na nimepigiwa simu nyingi sana leo kuniuliza juu ya
kifo cha Askofu Gwajima na nimebaki nashangaa kwani ni mzima wa afya,” alisema Kibata.
Majira
ya jioni jana picha zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii
ziliomwonyesha Askofu Gwajima akiwa mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi.
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Recent Posts
- ADC Summit 2025!09 Jan 20250
The African Disability Collaboration (ADC) is thrilled to host the ADC Summit 2025 under the ...Read more »
- KAGERA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYAFANYA MAZOEZI YA PAMOJA KUENDELEA KUJIIMARISHA KUWALINDA RAIA NA MALI ZAO25 Apr 20180
Na: Sylvester Raphael Vyombo ya Ulinzi na Usalama Mkoani Kagera vyafanya mazoezi ya ...Read more »
- MBIO ZA MWENGE WA UHURU KATIKA WILAYA ZA KARAGWE NA NGARA PIA HITIMISHO WILAYANI BIHARAMULO MKOANI KAGERA16 Apr 20180
Na: Sylvester Raphael Mwenge wa Uhuru waendelea kuchanja mbuga Mkoani Kagera kwa ku...Read more »
- MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA MKOANI KAGERA NA KUANZA UZINDUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA ZAIDI YABILIONI 1216 Apr 20180
Na: Sylvester Rapahel Mwenge wa Uhuru umepokelewa leo April 8, 2018 Mkoani Kagera na...Read more »
- TIMU YA WATAALAM WA UJENZI KUTOKA NCHINI CHINA YAKAGUA ENEO LA UJENZI WA CHUO CHA VETA KAGERA ILI KUANZA UJENZI MARA MOJA16 Apr 20180
Na: Sylvester Raphael Serikali ya Watu wa China yatuma timu ya Wataalam wa Usanif...Read more »
- MKOA WA KAGERA WAVUKA LENGO KATIKA UNDIKISHAJI WA WANAFUNZI AWALI NA DARASA LA KWANZA MWAKA 201816 Apr 20180
Na: Sylvester Raphael Mkoa wa Kagera wavuka lengo la uandikishaji wa Wananfunzi katika madarasa...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.