MBOWE APATA PIGO KUBWA JIONI HII NI HUZUNI MKUBWA AFIWA NA KAKA YAKE MAX
Freeman Mbowe ambaye ni mbunge wa jimbo la HAI mkoani Kilimanjaro pia msemaji wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni amepata pigo baada ya kaka yake aliyekuwa amelazwa hospitali ya Taifa Muhimbili kufariki dunia leo.Habari zaidi zitakujia kadri tutakavyokuwa tunazipokea
Post a Comment