Shirika la COMMUNITY BASED INCLUSIVE DEVELOPMENT ORGANISATION ambalo lenye ofisi zake wilayani Karagwe linajishughulisha na kutoa huduma ya kuzuia ulemavu kwa jamii kwa kutoa elimu kwa kushirikiana na jamii leo limeweza kuwapatia mabinti wenye ulemavu vyerehani ikiawa ni sehemu ya kuwajengea ujuzi na kujitegemea na kuondokana na utegemezi,
Mabinti hao hufundishwa stadi za maisha,ufundi kama ufumaji nguo na sweta,ushonaji na utengenezaji viatu.

Post a Comment