Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: HUDUMA KATIKA ZAHANATI YA ISHOZI YASITISHA HUDUMA KUTOKANA NA TETEMEKO LA ARDHI
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Zahanati ya ISHOZI iliyoko wilayani MISSENYI kata Ishozi imesimamisha huduma za afya  kutokana  na jengo hilo kuporomoka hadi chini . A...

Zahanati ya ISHOZI iliyoko wilayani MISSENYI kata Ishozi imesimamisha huduma za afya  kutokana  na jengo hilo kuporomoka hadi chini .


Akizungumza na mwandishi wa habari   mganga mfawidhi wa zahanati ya Ishozi amesema kuwa zahanati hiyo inawahudumia wananchi zaidi ya elfu saba kutoka kata hiyo.



Amebainisha kuwa mpaka sasa hakuna huduma yeyote inayotolewa kutokana na majengo yote yanayotumika kuporomoshwa na tetemeko la ardhi.

 

Ameitaka serikali kuiangalia zahanati hiyo kwa jicho la pili ili kuharakisha huduma kwa wananchi hasa akina mama wanaotaka kujifungua.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top