Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: MKUU WA KKKT FREDRICK SHOO AMEITAKA SERIKALI KUFANYA TATHIMINI YA CHAKULA
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
  Mkuu  wa  Kanisa  la  Kiinjili  la  Kilutheri  Tanzania  KKKT  Fredick  Shoo ameiomba  serikali  kufanya  tathimini  ya  haraka  kuba...

 Mkuu  wa  Kanisa  la  Kiinjili  la  Kilutheri  Tanzania  KKKT  Fredick  Shoo ameiomba  serikali  kufanya  tathimini  ya  haraka  kubaini  upungufu  wa  chakula  nchini  uliosababishwa  na  ukame  wa  muda  mrefu .

Alitoa  wito  huo  wakati  wa ibada  ya  kumweka  wakfu askofu wa Dayosisi  ya Meru  katika  usharika  wa USA  RIVER  wilayani  Aarumeru.



 Viongozi  mbalimbali  wa  serikali  na  vyama  vya  siasa  waliohudhuria  ibada  hiyo  ya  kuwekwa  Wakfu  mchungaji   Elias  Kitoi Nasari



About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top