Hivi unadhani ni Busara na matumizi sahihi ya raslimali za nchi kwa kitendo cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoa kibali cha kumkamata Ester Bulaya Mbunge wa Bunda Mjini na kumsafirisha kutoka Mwanza tena kwa ndege mpaka Dar es Salaam chini ya ulinzi wa polisi kisa kuhojiwa na kuachiwa huru.
Kulikuwa na uharaka gani je,sera ya kubana matumizi kwa mhimili wa bunge hawaungi mkono jitihada za Rais Magufuli?Au ndiyo kusema Bungeni ni sehemu ya kuchuma?Baadae Bulaya alisema pesa iliyotumika kumsafirisha ingesaidia kukarabati kituo cha polisi
TOA MAONI YAKO HAPA.
Home
»
News
» KUKAMATWA NA KUSAFIRISHWA KWA ESTER BULAYA ULIKUWA SAHIHI? JE,ILIZINGATIA KUBANA MATUMIZI?
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post a Comment