BREAKINGNEWS RDC :
WAZIRI AFUKUZWA KWAKUFANYA NGONO OFISINI
Naibu Waziri wa mawasiliano Mhe. HENOCK RUBERANGABO amefukuzwa kazi na raisi Joseph KABILA, hii ni baada ya kuonekana ndani ya video iliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii tangu jana usiku inavyo muonyeaha akifanya ponyetu ( mastrubation) ofisini mwake.
Post a Comment