Tundu
Lissu na Esther Bulaya wafungiwa kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya bunge
la bajeti na bunge lijalo la mwezinwa tisa. Vilevile Zitto Kabwe, Pauline
Gekul, Godbless Lema na Halima Mdee wafungiwa kushiriki vikao vilivyobaki vya
bajeti na John Heche afungiwa kuhudhuria vikao kumi mfululizo vya bajeti
kuanzia leo.
Huu
ni uamuzi wa kamati Haki, Maadili na
Madaraka ya Bunge chini Mh George Mkuchika (Mb)
Post a Comment