WATUMISHI HEWA.
Hadi tarehe 30
April ,2016 wilaya ya Karagwe
ilikuwa na watumishi
hewa 62 kwa
mchanganuo ufuatao.
A:WIZARA YA AFYA
HOSPITALI
TEULE YA NYAKAHANGA
.Watumishi hewa 36
wanaolipwa na serikali
kuu kupitia wizara
ya Afya wamebainika ni Hewa.
Kwa kipindi cha
mwaka wa fedha 2010/2011 hadi 2015/2016 fedha zilizolipwa
ni TSHS:609,785,800 baada
ya kuondoa makato
ya kisheria.
.Uongozi wa hospital
umeagizwa kurejesha fedha
hizo
.Aidha barua
zimepelekwa wizara ya
Afya ,Ofis ya Rais
Menejiment ya Utumishi wa
Umma na Benki ya NMB
ili wachukue hatua
stahiki.
B.HALMASHAURI YA
WILAYA
Watumishi 26
wamebainika kuwa ni
hewa kwa mchanganuo
ufuatao.
-Watumishi 22 wamebainika
kuwa watoro na
wameondolewa kwenye “PAYROLL”
Watumishi 02(wawili) wamebainika kuwa walistaafu
na wameondolewa kwenye
PAYROLL,fedha zimerudishwa
-Mtumishi 01 (
mmoja) amebainika alifariki dunia
tarehe 10 Februari ,2016 na
alikuwa kwenye Payroll ya mwezi
machi ,2016 Fedha
zilizochukuliwa zimerudishwa
Mtumishi 01(Mmoja) amebainika kuwa
na cheki namba
mbili.Fedha zimerudishwa kiasi
cha Tshs 18,555,000
Kwa ujumla
fedha zilizokuwa zinalipwa kwa
watumishi hewa TSHS 259,182
O50,27 kati ya hizo zirizorejeshwa ni TSHS 30,985,441.46
C TAASISI
ZINGINE ZA UMMA/SERIKALI
Mkuu wa wilaya ameunda kamati ya
watu wanne kuhakiki taarifa za
watumishi hewa ndani ya halmashauri ya
wilaya ,serikali kuu na
taasisi zote za serikali /umma zilizoko wilayani
Post a Comment