BASI
LA TAHMEED LATEKETEA KWA MOTO MCHANA LEO
Basi
la abiria mali ya Kampuni ya Tahmeed, lililokuwa likitokea Jijini Tanga
kuelekea Jijini Dar es salaam, likiteketea kwa moto mchana huu katika eneo la
Komkonga. Inaelezwa kuwa Ajali hiyo
imetokea wakati Basi hilo likiwa limesimama baada ya Abiria mmoja kuomba msaada
tutani "WA KENDA KUCHIMBA DAWA" ambapo baadhi ya Abiria wengine nao
walishuka na kusikia harufu ya tairi linaloungua. muda mchache tu tairi hilo
lilipasuka na moto kuanza kusambaa hadi kwenye tanki la Mafuta.
Hakuna
mtu yeyote aliepoteza Maisha kwenye ajali hii na hakuna mali iliyoweza
kuokolewa.
Post a Comment