Mshindi wa Big Brother Afrika, Idris Sultan amepasua jipu kuhusu uhusiano wake na Wema Sepetu ambao umekuwa ukizua utata kila siku huku mashabiki wao wakiubatiza majina mbalimbali.
Idris ameweka wazi kuhusu hali ya uhusiano wao na namna anavyomchukulia Wema Sepetu kama mkewe.
Kwa mujibu wa maelezo yake, yeye na mrembo huyo wanatarajia kupata mtoto ingawa bado hawajafahamu jinsi ya mtoto huyo.
==>Leo, Idris amepost kwenye Instagram ujumbe unaoweka wazi maisha yake na ‘mkewe’ Wema.
“Me
and You are not the ordinary. I sleep,eat, talk and wake up to only
thinking about you. As much as utadhani kuwa you are blessed to have me
no no i am blessed to have you.
"At
1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na
viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi
akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia
jikoni kwangu and take over my house with good food. The way you look at
other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a
tight hug.
"The
way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these
days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose
flower in the world and it will never look even half as beautiful as you
are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile.
"
I would move mountains and planets just to make you happy. I will
protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch
movies together, drive at night for no reason, sit with you and just
stare at the stars. You’re more than i ever asked for, you’re my
everything “My Wife” heart_eyes,” Idris aliandika.
Post a Comment