Wanafunzi wa shule ya Sekondari BULUBA ya Mkoani SHINYANGA wameandamana kupinga kitendo cha uongozi wa shule hiyo kumshusha cheo mkuu wa shule hiyo ALEXANDER YEGELA na kuwa mwalimu wa kawaida.
Wanafunzi hao waliandamana kuelekea ofisi za chama cha ushirika SHINYANGA SHIRECU na kuvunja baadhi ya vioo milango ya ofisi hiyo.
Hata hivyo wanafunzi hao walitulizwa na meneja wa shule hiyo ya sekondari ya BULUBA na kuwahaidi mwalimu huyo atarejeshwa kwenye wadhifa wake ambapo walikubaliana nae na kuondoka eneo hiyo
Aliyeshoosha mkono ne meneja wa shule hiyo akiwatuliza wanafunzi wa BULUBA sekondari
Post a Comment