Timu ya Polisi Karagwe imeanza ligi ya Taifa ngazi ya Mkoa wa Kagera kwa kukubali kipigo cha magoli 5-0 kutoka kwa Majengo ya Manispaa ya Bukoba mchezo uliofanyika katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Katika kituo cha Kayanga-Karagwe timu ya Eleven Stars ilianza mashindano hayo kwa kishindo baada ya kushinda kwa Goli 2-0 mabao yote yakifungwa na ndugu wa baba mmoja timu ya Nzanza Fc ya Ngara ilikubali kipigo hicho cha vijana wa Missenyi.
Mchezo wa pili ulishuhudia Ngara Stars ikijipatia ushindi wa goli moja kwa bila dhidi ya timu ya Nyaishozi ya wilayani Karagwe.
Leo Januari 08, 2017 ni Zamu ya Atukuzwe kukipiga na Kamachumu ya wilayani Muleba na Benaco atakipiga na Chandimu ya Manispaa ya Bukoba
About Author
The part time Blogger love to blog on various categories like Web Development, SEO Guide, Tips and Tricks, Android Stuff, etc including Linux Hacking Tricks and tips. A Blogger Template Designer; designed many popular themes.
Advertisement

Related Posts
- ATUKUZWE FC NAYO YAANZA LIGI KWA KIPIGO CHA MBWA MWIZI09 Jan 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
- YANGA YAFANYIWA KITUMBAYA NA AZAM HUKO ZANZIBAR08 Jan 20170
Timu ya Azam fc jana ilifanyia kitu kibaya Y...Read more »
- KAULI WALIZOZIONGEA WATU MASHUHURI TOFAUTI KUHUSU GOAL LA GIROUD :03 Jan 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.