Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: MILLIONI 545 ZATUMIKA KUWALIPA WATUMISHI HEWA 99 MKOANI KAGERA
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Zaidi ya milioni 545 zimetumika kuwalipa watumishi hewa 99 mkoani KAGERA  ikiwampaka sasafedha zilizorudishwa na watumishi hao ni milion...

Zaidi ya milioni 545 zimetumika kuwalipa watumishi hewa 99 mkoani KAGERA  ikiwampaka sasafedha zilizorudishwa na watumishi hao ni milioni60.


Akizungumza na vyombo vya habari mkuu wa mkoa waKAGERA  Meja Jeneral  Mstaafu SALUMU KIJUU amesema kuwa watumishi hao wamehakikiwa kipindi cha mach mpaka sasa ambapo waliobainika mpakasasa ni hao 99.


Akitaja watumishi katika wilaya zote zamkoa wa KAGERA amesema biharamulo ni watumishi hewa 9 manispaa ya bukoba watumishi 7  ngara watumishi 3 bukoba halmashauri watumishi hewa 22 karagwe watumishi 26 huku muleba ikiwa na watumishi hewa 17.


Kutokana na huakiki huo mkoa umeundabaraza ambalo litasaidia kuhakiki watumishi wotekwa ngazi za vijiji kata na wilaya huku akibainisha kuwa badhi ya watumishi wanapokea mishahara mikubwa kuliko kiwango chao.



Hata hivyo  Meja Jeneral Mstaafu KIJUU amebainisha kuwa baadhi ya watumishi katika idara za afya ni hewa lakini wameshindwa kuwaingilia kutokana na baadhi ya vituo kusimamiwa na tasisi kama makanisa ambazo aziishirikishi halmashauri husika.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top