Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: RAIS MAGUFULI ATANGAZA KIAMA KWA WANAOFICHA SUKARI ASEMA WATANYANGANYWA TU
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
Rais Magufuli ameagiza vyombo vya usalama kuwakamata wafanyabiashara wote ambao wameficha sukari. Amesema Serikali yake haishin...




Rais Magufuli ameagiza vyombo vya usalama kuwakamata wafanyabiashara wote ambao wameficha sukari. Amesema Serikali yake haishindwi kuagiza sukari ya kuwatosheleza watanzania wote. 



Amewaonya wafanyabiashara wanaotaka kushindana na serikali yake kuwa umefika mwisho wao na hawatafanya tena biashara nchini. Pia, amewataja baadhi ya wafanyabiashara walioficha sukari kuwa watapokonywa na watagaiwa Bure wananchi kwani nao ni wahujumu uchumi_-Kateshi



Rais ameondoka leo Dodoma kwenda Arusha kwa njia ya GARI
Njiani anakutana na wananchi ndio alipotoa agizo hilo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top