Msanii maarufu wa komedi aliyefahamika sana kwa
kuchezesha macho na kunakshi na neno #Pumbavuuu_sana. #Kinyambe, amefariki
Dunia Hospitali ya Mkoa wa MBEYA Usiku huu, chanzo cha kifo chake bado
hakijajulikana.
Poleni sana ndugu, jamaa, wasanii na
wapenzi wa Sanaa ya maigizo na
Watanzania wote kwa ujumla..
Post a Comment