Amepanda mnara uliopo karibu na ofisi za Tunakopesha limited zilizo karibu na mahakama ya wilaya ya Nyamagana lakini vikosi vya uokoaji vimefanikiwa kumtoa kwa kumshawishi lakini alipotelemka kukaribia chini alijirusha lakini hakupata madhara makubwa na amekimbizwa hospitalini kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake
SHUGHULI ZA UZALISHAJI JIJINI MWANZA LEO ZIMESIMAMA KWA MUDA KUTOKANA NA TUKIO HILI HAPA
Amepanda mnara uliopo karibu na ofisi za Tunakopesha limited zilizo karibu na mahakama ya wilaya ya Nyamagana lakini vikosi vya uokoaji vimefanikiwa kumtoa kwa kumshawishi lakini alipotelemka kukaribia chini alijirusha lakini hakupata madhara makubwa na amekimbizwa hospitalini kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.